Zari amkaushia Diamond Platnumz siku ya nne leo toka asherekee kuzaliwa na kufuta picha za Diamond

zari

Zari amkaushia Diamond Platnumz siku yake ya kuzaliwa na kufuta picha za Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Hadi leo, Zari the Boss Lady hajamtakia heri ya kuzaliwa baba watoto wake Diamond Platnumz ambea siku ya juzi alikuwa akiazimisha siku yake hiyo ya kuzaliwa.

Hali ya uhusiano baina ya wawili hao imezidi kutiliwashaka na mashabiki baada Zari kuanza kufuta picha za Diamond na kufuta jina la Diamond kwenye akaunti za watoto wao.

22221519_1938133249534491_8759258979865042816_n 22221915_1938133256201157_3170344482889425959_n

The post Zari amkaushia Diamond Platnumz siku ya nne leo toka asherekee kuzaliwa na kufuta picha za Diamond appeared first on The Choice.

See original article here: 

Zari amkaushia Diamond Platnumz siku ya nne leo toka asherekee kuzaliwa na kufuta picha za Diamond