Rais Magufuli Anapokea Mshahara Mdogo Kuliko Marais wote Afrika Mashariki

Baada ya Rais Magufuli kuweka hadharani Mshahara anaoupokea imekuja kubainika kuwa Mshahara wa Rais Magufuli unalingana na Mshahara na marupurupu anayepokea Diwani wa Kenya na ni Rais anayepokea Mshahara mdogo kati ya viongozi wa Africa Mashariki.

Rais Yoweri Museveni wa Uganda anapokea dola 14978.65 kwa mwezi.
Rais Uhuru Kenyattta wa Kenya anapokea dola 13539.67 kwa mwezi.
Rais Paul Kagame wa Rwanda dola 6361.8 kwa mwezi.
Rais John Magufuli wa Tanzania anapokea dola 4026.87 kwa mwezi.

Source:  

Rais Magufuli Anapokea Mshahara Mdogo Kuliko Marais wote Afrika Mashariki