Hizi ndizo dalili za Diamond na Zari kuachana

Hakika penzi la diamond na zari haliko salama kwa sasa kutokana na wawili hao kila mmoja kuwa mbali mwenzake tofautii na tulivyo wazoea.

Hii leo zari kasema hata hudhuria katika show ya diamond nchini Uganda..huku zoezi la kufuta picha za diamond zikishika kasi…na kuleta sintofahamu kwa mashabiki wa pande zote mbili

Screenshot_20171005-221306 Screenshot_20171005-221306 Screenshot_20171005-222159

The post Hizi ndizo dalili za Diamond na Zari kuachana appeared first on The Choice.

Originally from:

Hizi ndizo dalili za Diamond na Zari kuachana