Nimemkuta Mpenzi Wangu Anafungasha Manii zangu Anataka Kuondoka Nazo

Nina mpenzi wangu ni mwezi sasa toka tumejuana, jumapili tulipanga kukutana kufanya yale mambo yetu basi tukameet cha kushangaza baada ya kumaliza akaomba kuondoka basi nikwamwambia tukaoge kwanza. Tulipomaliza kuoga yy katangulia kutoka mm nikabaki nafuta futa mwili kdg, ile narudi namkuta anafunga zile condom zenye manii anataka kuweka kwenye mkoba wake. Asee nilishikwa na butwaa, nikajaribu kumuuliza anapeleka wapi akasema alitaka akatupe nje cuz hapendi kuziacha hotel.

Basi nikiwaza nikajaribu kufikiria kuna siku aliwahi kuniambia habari za kichawichawi nikamwambia azirudishe kwenye kile kidust bin. Usiku nikampgia simu nikajaribu kumuuliza kwa upole aniambie ni wap alikua anapeka akanijibu jibu lile lile. Basi nikaamua kumchunia nikidhamiria kumuacha sasa jana akaomba tukutane nikagoma, usiku akanipigia simu siku analia eti anasema alinipenda sana alitaka nimuoe na zile manii kuna rafiki zake wa kazini kwao ndio walimwambia kuna mganga anaweza anaweza kunifanya nimuoe kama atawapelekea zile manii.

Wakuu ni mara ya pili tumefanya hili tendo sasa sijui ile siku ya kwanza napo aliondoka nazo, huyu binti ni mnyamwezi wa huko tabora naogopa sana atakua anataka kuniloga. Nimewahi kumpeleka home kwangu mara moja but nashangaa alikua anainsist tukafanyie hili tendo hotel.

Naombeni mwenye kuelewa hili ananipe ushauri, nimeshindwa kuomba ushauri kwa watu cuz limekaa kiaibu aibu sana.
Asante.

Continue at source¬†–¬†

Nimemkuta Mpenzi Wangu Anafungasha Manii zangu Anataka Kuondoka Nazo