Je, nia ya Kumpa Support Kiba ni Kumshusha Diamond Platnumz

Hivi kuna uwezekano wanaompa support Ali Kiba wanataka kumshusha Diamond?, Kwenye hizi team nimeona sana team kiba wanafatilia sana habari na maisha ya Diamond, Kuna uwezekano mkubwa sana labda hawa baadhi ya team kiba walikuwa wanamkubali sana Diamond ila alivyoanza kupata mafanikio makubwa walichukia sana na hivyo wakaona watumie karata ya Ali Kiba ili wajaribu kumshusha Diamond,

JE KUNA UWEZEKANO WA KUWEPO HILI JAMBO

Continued here:  

Je, nia ya Kumpa Support Kiba ni Kumshusha Diamond Platnumz