Diamond aingia Top 5 kwa wasanii Matajiri barani Africa.


Msanii kutokea nchini Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido aliyetamba na ngoma yake ya “Fall” iliyofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla,


Davido ndio msanii mwenye mashabiki wengi kwenye mtandao wa instagram (Milioni 5) katika Bara la Afrika. Davido Nafasi ya pili inafuatiwa na msanii kutokea Nigeria pia

Wizkid Ayo maarufu kama star boy mwenye mashabiki million 4.1 kwenye kurasa yake ya instagram, Wizkid ni mmoja wa wanamuziki waliofanikiwa kimuziki kwa kuitangaza vyema Afrika kwa kufanya kazi na wasanii wengi nje ya Afrika akiwemo Drake kutokea Marekani, Justine Skye na wengine wengi. Wizkid Bila kumsahau msanii kutokea Tanzania

Diamond Platnumz ambaye anashika nafasi ya tatu kama msanii mwenye mashabiki millioni 4 kwenye kurasa yake ya instagram katika Bara la Afrika, huku

Don Jazzy wa Nigeria akiwa nafasi ya 4 kutokea Nigeria kwa kuwa na masabiki million 3.4 na

Peter wa PSquare kutokea Nigeria mwenye mashabiki million 3. Diamond Platnumz Don Jazzy Peter wa PSquare

The post Diamond aingia Top 5 kwa wasanii Matajiri barani Africa. appeared first on The Choice.

See original article here – 

Diamond aingia Top 5 kwa wasanii Matajiri barani Africa.