BREAKING NEWS: Mbunge Nasari Arudi Tena TAKUKURU

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari akiwasili Makao makuu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Jijini Dsm, kuendelea mahojiano ya kile wanachokiita ushahidi wa Picha za Video zilizonaswa zikionesha Jinsi madiwani wa CHADEMA katika baadhi ya kata Mkoani Arusha walivyorubuniwa kwa Pesa ili kujivua kujiuzuru na kujivua Uanachama.

More:  

BREAKING NEWS: Mbunge Nasari Arudi Tena TAKUKURU