Pcha:Yaliyojiri Usiku wa Private Party ya Diamond

Pcha:Yaliyojiri Usiku wa Private Party ya Diamond

Usiku wa kumkia leo ndiyo kilele cha kuhitimisha siku nne za kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa C.E.O wa WCB, Diamond Platnumz ambapo private party imefanyika katika hotel ya Hyatt Rency na kuhudhuriwa na mastaa kadhaa pamoja na watu wake wa karibu.

Kabla ya sherehe hiyo Diamond ametoa msaada wenye thamani ya shilingi milioni nne katika hospitali ya Amani iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo ndiyo alizaliwa miaka kadhaa iliyopita.

Manager wa Diamond(kulia) Sallam akifurahia jambo na Diamond kwenye birthday dinner party

Diamond akiwa na mlinzi wake
Diamond akiwa na wageni waalikwa

From¬†–¬†

Pcha:Yaliyojiri Usiku wa Private Party ya Diamond