Itazame video mpya ya Lady JayDee – I Miss You

Msanii Judith Wambura maarufu kama Lady jayDee kwa mara nyingine tena anakuletea video mpya ya wimbo wake alioupa jina ‘I Miss You’.

Video ya wimbo huu imeandaliwa na kuhaririwa na Justin Campos na Icandy.

Hakika wimbo huu ni mzuri na utakuburudisha.

Bonyeza hapa chini kuitazama video ya wimbo huu.

View this article:

Itazame video mpya ya Lady JayDee – I Miss You