Hamisa Mobetto Achukizwa na Ujumbe wa Idriss ,Auchukulia Kama Kejeli /Dharau…. Ujumbe Huo Umesomeka hivi

Hamisa Mobetto Achukizwa na Ujumbe wa Idriss ,auchukulia Kama kejeli /dharau…. Ujumbe Huo Umesomeka hivi :
.
By Idriss Sultan – Dear Diamond nimekaa nikawaza sanaaaaa ila nimemaliza na jibu nimepata, kama kaka au mshkaji wako nimeona kuna vituo vingi sana vya watoto wasio na uwezo wa kujisomesha na hata chakula hakitoshi, nimeona kuna vijana wengi hawana ajira, nimeona kuna wengi hawajui wataamkaje kesho. Kwa sasa wewe unaweza kuwasaidia sanaaaa. Utakua unajiuliza hii 500 ya nini ila nimegundua nikikupa hii 500 ntakua nimeokoa maisha ya watu wengi sana. HII 500 NUNUA CONDOM ILI HIZO ELF 70 TUWE TUNATOA MISAADA NA RAV 4 ZITAPELEKA MCHELE ORPHANAGE.

Originally posted here:  

Hamisa Mobetto Achukizwa na Ujumbe wa Idriss ,Auchukulia Kama Kejeli /Dharau…. Ujumbe Huo Umesomeka hivi