Ruge wa Clouds Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Aliyekuwa Mpenzi wake Zamaradi Kuolewa

Kumekuwa na maneno mengi kwenye mitandao kuhusiana na ndoa ya Zamaradi Mketema, mama wa watoto wangu Russell (Juhjuh) na Shubi. Taarifa ya ndoa nilikuwa nayo na namtakia kila LA heri kwenye safari yake mpya. Pamoja na kuheshimu Uhuru wa vyombo vya
habari natoa ufafanuzi huu ili kulinda maslahi ya watoto wetu ambao wanachohitaji ni amani na furaha ya wazazi wao.

#sinasocialmediaaccount
Ruge Mutahaba.

Original link: 

Ruge wa Clouds Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Aliyekuwa Mpenzi wake Zamaradi Kuolewa